Lionel Messi (katikati) akikimbia kushangilia baada ya kuifngia bao la pili Barcelona dakika ya 86 kufuatia Luis Suarez kufunga la kwanza dakika ya 85 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Atletico Madrid kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Sasa Barcelona inaongoza La Liga kwa pointi 11 zaidi ya Atletico Madrid wanaofuatia kwenye msimamo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment