Mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema akishangilia baada ya kufunga mabao yote mawili dakika za 59 na 81 Real Madrid ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Eibar usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu kwenye mchezo wa La Liga. Bao la Eibar lilifungwa na Marc Cardona dakika ya 39 na sasa Real Madrid inazidiwa pointi 13 na vinara, Barcelona baada ya wote kucheza mechi 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment