Cristiano Ronaldo akishangilia kwa staili yake maarufu baada ya kuifungia bao la kuongoza Juventus dakika ya 45 kabla ya David Neres kuisawazishia Ajax dakika ya 46 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 usiku wa jana kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam na sasa zitarudiana Aprili 16 Uwanja wa Allianz mjini Torino PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment