Son Heung-min akinyoosha kidole kwenye beji ya Tottenham Hotspur kwa furaha baada ya kuifungia bao pekee dakika ya 78 ikiilaza 1-0 Manchester City katika Robo Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika usiku wa jana Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Sergio Aguero alikosa penalti kwenye mchezo huo baada ya shuti lake kupanguliwa na kipa Hugo Lloris kufuatia Danny Rose kuunawa mpira uliopigwa na Raheem Sterling na timu hizo zitarudiana Aprili 17 Uwanja wa Etihad mjini Manchester PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment