Jordan Henderson akimpongeza James Milner baada ya kufunga bao la pili kwa penalti dakika ya 81, kufuatia Georginio 'Gini' Wijnaldum kufunga la kwanza dakika ya 57 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Cardiff City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Cardiff City mjini Caerdydd. Liverpool inarejea kileleni baada ya ushindi huo ikifikisha pointi 88 baada ya kucheza mechi 35 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu England, ikiizidi kwa pointi mbili Manchester City ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment