Kinda mwenye kipaji wa Ajax, Matthijs de Ligt akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya67 usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino ikiwalaza 2-1 wenyeji, Juventus katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Cristiano Ronaldo alianza kuifungia Juventus dakika ya 28, kabla ya Donny van de Beek kusawazisha dakika ya 34 na kwa matokeo hayo, Ajax inakwenda Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 kufuatia sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza Amsterdam na itamenyana na mshindi wa jumla kati ya Tottenham na Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment