Roberto Firmino (kushoto) na Naby Keita wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-0 wa Liverpool dhidi ya FC Porto kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield usiku wa jana. Keita alifunga la kwanza dakika ya tano na Firmino la pili dakika ya 26 na timu hizo zitarudiana Aprili 17 Uwanja wa Do Dragao mjini Porto PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment