Kiungo Aaron Ramsey akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya 15 kabla ya mpira uliopigwa na Lucas Torreira kumbabatiza beki Kalidou Koulibaly aliyejifunga dakika ya 25 kuipa timu hiyo bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Napoli kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Emirates mjini London na timu hizo zitarudiana Aprili 18 Uwanja wa San Paolo mjini Napoli PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment