Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Tottenham Hotspur dakika ya 48 ikiilaza 1-0 Borussia Dortmund katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund. Kwa matokeo hayo, Spurs inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-0 baada ya kushinda 3-0 na London kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment