Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia mabao yote Barcelona dakika ya 71 na 89 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Espanyol kwenye mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Camp Nou. Kwa ushini huo, Barcelona inafikisha pointi 69 baada ya kucheza mech 29 na kuendelea kuongoza La Liga, ikifuatiwa na Atletico Madrid pointi 56 na Real Madrid pointi 54
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment