Moto ukiwaka uwanjani kufuatia mashabiki wa Panathinaikos kuwavamia na kuwafanyia vurugu kwenye benchi wachezaji wa Olympiacos wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Ugiriki ambao ulilazimika kusimama kwa dakika nane kuanzia dakika ya nne tangu kuanza kwa mchezo huo wa mahasimu wa Athens Uwanja wa OAKA ili Polisi watulize vurugu hizo. Mechi iliendelea na Olympiacos ikashinda 1-0, bao pekee la Guerrero dakika ya 53 ingawa Panathinaikos iko hatarini kupokonywa pointi baada ya vurugu hizo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment