Nahodha Sergio Ramos akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Hispania kwa penalti dakika ya 71 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Norway kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Mestalla mjini Valencia. Hispania ilitangulia kwa bao la Rodrigo dakika ya 16 kabla ya Joshua King kuisawazishia Norway kwa penalti dakika ya 65 na mechi nyingine za kundi hilo, Sweden iliichapa 2-1 Romania mjini Solna na Malta ikaifunga 2-1 Faroe Islands mjini Ta'Qali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment