Mshambuliaji wa Wolverhampton Wanderers, Raul Jimenez (katikati) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya 70 ikiilaza Manchester United 2-1 katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton, West Midlands. Bao la pili lilifungwa na Diogo Jota dakika ya 76, wakati bao la Man United lilifungwa na Marcus Rashford dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment