Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Brazil mabao mawili dakika za 83 na 90 ikiichapa Jamhuri ya Czech 3-1 kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Sinobo mjini Praha. Bao lingine la Brazil lilifungwa na Roberto Firmino dakika ya 49, wakati la Czech lilifungwa na David Pavelka dakika ya 37 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment