Jorginho akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Chelsea dakika ya 31 ikiilaza 2-1 Fulham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Craven Cottage. Chelsea ambayo jana ilitangulia kwa bao la Gonzalo Higuaín dakika ya 20 kabla ya Calum Chambers kuisawazishia Fulham dakika ya 27, kwa ushindi huo inafikisha pointi 56 baada ya kucheza mechi 28, ikiendelea kushika nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Boxing chief Turki Alalshikh calls out Dua Lipa in bizarre rant about pop
sensation during Tyson Fury vs Anthony Joshua press conference
-
On Wednesday evening, Britain's two most iconic boxers of the last two
decades went face to face for the first time since their eagerly
anticipated super-f...
48 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment