Willian akishangilia mbele ya mashabiki baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 65 ikiilaza 3-0 Dynamo Kiev katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Pedro dakika ya 17 na Callum Hudson-Odoi dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment