Mshambuliaji Mario Balotelli akijirekodi video ambayo aliiposti muda huo huo Instagram wakati akishangilia baada ya kuifungia Marseille bao la kwanza dakika ya 12 kabla ya Florian Thauvin kufunga la pili kwa penalti dakika ya 21 kuiwezesha timu yao kushinda 2-0 dhidi ya Saint Etienne katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Orange Velodrome mjini Marseille PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment