Danny Welbeck akiifungia England bao dakika za mwishoni ambalo hata hivyo lilikataliwa na marefa akidaiwa kumchezea rafu kipa David de Gea wa Hispania katika mchezo wa kirafiki usiku wa leo Uwanja wa Wembley mjini London. Hispania imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Saul Niguez dakika ya 13 na Rodrigo dakika ya 32, baada ya Marcus Rashford kutangulia kuifungia England dakika ya 11 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment