Lionel Messi akinyoosha kidole juu kushangilia baadsa ya kuifungia mabao matatu Barcelona dakika za 31, 77 na 87 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya PSV Eindhoven kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumanne Uwanja wa Camp Nou. Bao lingine la Barca limefungwa na Ousmane Dembele dakika ya 74. Barca ilimaliza pungufu baada ya Samuel Umtiti kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 79, kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment