Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Duwa Said (kulia) na Hussein Masha na George Masatu (kushoto) wakiwa na wachezaji wa Liberia, Wiiliam Fahnbullah na George Weah Februari 22, Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam kabla ya mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika uliomalizika kwa sare ya 1-1. Masatu, Duwa, Masha na Fahnbullah wote wachezaji wa Simba SC.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment