Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Arsenal dakika ya 81 ikiilaza Cardiff City 3-2 Uwanja wa Cardiff katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Shkodran Mustafi dakika ya 11 na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 62, wakati ya Cardiff City yamefungwa na Victor Camarasa dakika ya 45 na ushei na Danny Ward dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment