Nahodha wa Liverpool, Jordan Henderson akisaini mkataba mpya wa miaka mitano kuendelea kuichezea timu hiyo leo. Kiungo huyo wa kimataifa wa England mwenye umri wa miaka 28 alijiunga na Liverpool mwaka 2011 akitokea Sunderland na hadi sasa amekwishacheza mechi 283 na kufunga mabao 24 na alipewa Unahodha baada ya kuondoka kwa Steven Gerrard PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment