Mshambuliaji wa Chelsea, Michy Batshuayi anayecheza kwa mkopo Valencia akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji mabao mawili dakika za 52 na 60 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Scotland katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Hampden Park mjini Glasgow, Scotland. Mabao mengine ya Ubelgiji yalifungwa na Romelu Lukaku dakika ya 28 na Eden Hazard dakika ya 46 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment