SIMBA WALIVYOIPASHIA PORTS LEO BOKO LEO, MECHI KESHO USIKU TAIFA
Wachezaji wa Simba SC wakiwa mazoezini leo asubuhi Uwanja wa Boko Veterani mjini Dar es Salaam kujiandaa wa Robo Fainali Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame dhidi ya AS Ports ya Djibouti Saa 1:00 usiku kesho Uwanja wa Taifa, Jijini.
0 comments:
Post a Comment