Beki Virgil van Dijk (wa pili kushoto) akiwa juu kuifungia kwa kichwa Liverpool dakika ya 25 ikilala 3-1 mbele ya timu ya zamani ya kocha wao, Jurgent Klopp, Borussia Dortmund katika mchezo wa urafiki usiku huu Uwanja wa Bank of America mjini Charlotte, North Carolina, Marekani. Mabao ya Borussia Dortmund yamefungwa na Christian Pulisic kwa penalti dakika ya 66 na Jacob Bruun Larsen dakika ya tatu ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment