Mshambuliaji wa kimataifa wa Misri, Mohamed Salah akifanya mazoezi ya viungo na wachezaji wenzake wa Liverpool baada ya kuimarika kufuatia maumivu ya bega aliyoyapata Mei mwaka huu. Liverpool imeweka kambi North Carolina Marekani kwa maandalizi ya msimu mpya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment