Bernardo Silva akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 45 na 70 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Bayern Munich kwenye mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa Uwanja wa Hard Rock mjini Miami Gardens, Florida, Marekani. Bao lingine la Man City limefungwa na Lukas Nmecha dakika ya 51 wakati ya Bayern Munich yamefungwa na Meritan Shabani dakika ya 15 na Arjen Robben dakika ya 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment