Kiungo Mreno, Joao Moutinho akiwa na jezi ya wageni katika Ligi Kuu ya England, Wolves baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 5 kutoka Monaco ya Ufaransa. Moutinho ni mchezaji wa tatu kuichezea mechi nyingi Ureno baada ya Cristiano Ronaldo na Luis Figo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment