MAGULI AJIUNGA NA AS KIGALI YA RWANDA KAMA MCHEZAJI HURU
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Elias Maguli (kulia) akikabidhiwa jezi ya timu ya AS Kigali ya Rwanda baada ya kusaini mkataba wa kujiunga nayo kama mchezaji huru. Maguri amewahi kuchezea Dhofar SC, ya Oman, Ruvu Shooting ya Pwani, Stand United ya Shinyanga na Simba SC ya Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment