Harry Wilson (wa pili kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Chester kwenye mchezo wa kirafiki Uwanja wa Swansway Chester jana. Mabao mengine ya Liverpool katika mchezo ambao wachezaji wapya, viungo Naby Keita na Fabinho walioigharimu klabu karibu Pauni Milioni 100 walicheza kwa mara ya kwanza baada ya kusailiwa, yalifungwa na Daniel Sturridge mawili pia, Ryan Kent, Danny Ings na James Milner kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment