Dele Alli akishangilia baada ya kuifungia bao la pili England dakika ya 58 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sweden leo Uwanja wa Samara Arena nchini Urusi katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la Dunia, baada ya Harry Maguire kufunga la kwanza dakika ya 30. England sasa itakutana na mshindi kati ya Urusi na Croatia katika Nusu Fainali wiki ijayo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment