Shabiki maarufu wa Yanga, Mack Yanga akiwa mwenye huzuni Aprili 29, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam baada ya timu yake kufungwa 1-0 na mahasimu, Simba SC. Huzuni imetawala miongoni mwa mashabiki na wapenzi wa Yanga SC kwa sasa baada ya kupokonywa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara na watani wao hao wa jadi.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment