Basi la wachezaji wa Juventus likikatiza mitaa ya Jiji la Turin jana kusherehekea ubingwa wa Ligi Kuu ya Italia, maarufu kama Serie A. Kibibi Kizee hicho cha Turin kilitwaa taji hilo wikiendi iliyopita baada ya sare ya 0-0 na Roma siku chache baada ya kuchukua na Kombe la Italia kwa ushindi wa 4-0 dhidi ya AC Milan, kabla ya usiku wa jana kushinda 2-1 dhidi ya Hellas Verona PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment