Wachezaji wa Chelsea wakishangilia na taji la ubingwa wa Kombe la FA baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester United leo, bao pekee la Eden Hazard kwa penalti dakika ya 22 akimchambua vizuri David De Gea kufuatia yeye mwenyewe kuangushwa na Phil Jones kwenye boksi. Alexis Sanchez alidhani amefunga bao la kusawazisha kipindi cha pili, lakini akaambiwa alikuwa ameotea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment