Nyota wa Manchester City, Bernando Silva wa Ureno akikabiliana na mchezaji wa Tunisia wakati wa mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Munispaa ya Braga kujiandaa na Fainali za Kombe la Dunia mwezi ujao nchini Urusi timu hizo zikitoka sare ya 2-2. Ureno walitangulia kwa mabao ya Andre Silva dakika ya 22 na Joao Mario dakika ya 34, kabla ya Tunisia kusawazisha kupitia kwa Anice Badri dakika ya 39 na Fakhreddine Ben Youssef dakika ya 64 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
All you need to know about Sports Personality of the Year 2025
-
BBC Sport has everything you need to know about BBC Sport's Personality of
The Year 2025 and how to vote.
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment