Kiungo wa kimataifa wa Hispania, Andres Iniesta akiwa nan mmiliki wa timu ya Vissel Kobe, Hiroshi Mikitani, ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rakuten wadhamini wakuu wa Barcelona. Iniesta anatarajiwa kujiunga na Vissel Kobe ya Ligi Kuu ya Japan, baada ya kukamilissha miaka yake 22 ya kuwa na Barcelona PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment