Nahodha wa West Ham United, kiungo Mark Noble akigombana na kiungo wa Manchester United, Paul Pogba mwishoni mwa mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare ya 0-0 baina ya timu hizo usiku wa Alhamisi Uwanja wa London. Noble aliinuka kwenda kumshambulia Pogba akidai Mfaransa huyo alimchezea rafu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment