Winga Gareth Bale (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzake, Isco baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 13 na 30 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Celta-Vigo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu. Mabao mengine ya Real ambayo haikumtumia nyota wake, Mreno Cristiano Ronaldo sababu ni majeruhi yamefungwa na Isco dakika ya 32, Achraf Hakimi dakika ya 52, Sergi Gomez aliyejifunga dakika ya 74 na Toni Kroos dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment