Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rashid Mfaume Kawawa (kushoto) akisalimiana na Nahodha wa Maji Maji, Omar Kapilima kabla ya mechi ya Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri mwaka 1999 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Wengine kulia ni Amri Said na Willy Martin ‘Gari Kubwa’ na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Soka Tanzania (FAT, sasa shirikisho, TFF), Subira Mambo (marehemu). Inaaminika huu ndiyo mchezo wa mwisho soka Mzee Kawawa alihudhuria kabla ya kifo chake, Desemba 31, mwaka 2009 mjini Dar es Salaam akiwa ana umri wa miaka 83. Al Ahly ilishinda 3-0.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment