Javier Mascherano akipunga mkono kuwaaga mashabiki Uwanja wa Camp Nou usiku wa jana wakati wa mchezo wa Kombe la Mfalme Barcelona ikishinda 2-0 dhidi ya Espanyol. Baada ya kuitumikia Barca kwa miaka karibu nane, Muargentina huyo, Mascherano anahamia Hebei China Fortune kwenda kumalizia soka yake PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment