Memphis Depay akionyesha tattoo yake ya Simba baada ya kuifungia bao la pili Olympic Lyon dakika ya 90 na ushei ikiwalaza 2-1 Paris Saint-Germain katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Groupama mjini Lyon. Nabil Fekir aliifungia bao la kwanza Lyon dakika ya pili, kabla ya Layvin Kurzawa kuwasazishia wageni dakika ya 45 na ushei katika mchezo ambao, mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappe alitolewa kwa machela dakika ya 36 baada ya kuumia kufuatia kugongana na Anthony Lopes na nafasi yake kuchukuliwa na Julian Draxler PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment