Mchezaji mpya, Philippe Coutinho akimuacha chini beki wa Espanyol wakati akiichezea Barcelona kwa mara ya kwanza baada ya kuingia kutokea benchi kuchukua nafasi ya Iniesta dakika ya 68 katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Mfalme, Barca ikishinda 2-0 Uwanja wa Camp Nou PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment