Cristiano Ronaldo akitumia simu ya Daktari wa timu yake kuangalia namna alivyoumia shingoni baada ya kupigwa teke na Fabian Schar wa Deportivo La Coruna leo wakati wa mchezo wa La Liga Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid, timu yake, Real Madrid ikishinda 7-1 huku yeye akifunga mabao mawili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment