Emre Can akiruka juu kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 26 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town Uwanja wa The John Smith mjini Huddersfield, West Yorkshire kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Wekundu hao, yamefungwa na Roberto Firmino dakika ya 45 na Mohamed Salah dakika ya 78 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment