MICHY BATSHUAYI AKABIDHIWA RASMI MIKOBA YA AUBAMEYANG
Mshambuliaji Michy Batshuayi akiwa ameshika jezi ya Borussia Dortmund baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo kutoka Chelsea kuziba pengo la Pierre-Emerick Aubameyang aliyehamia Arsenal kwa dau la Pauni Milioni 56PICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment