Alfie Mawson akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Swansea City dakika ya 40 Uwanja wa Liberty huku beki ghali, Virgil Van Dijk (wa tatu kulia) na wachezaji wenzake wa Liverpool, Mohamed Salah (kulia) wakionyesha masikitiko yao. Liverpool ililala 1-0 katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment