Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao yote dakika za 34, 63 kwa penalti na 83 ikishinda 3-1 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao pekee la The Magpies limefungwa na Jacob Murphy dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment