Sergio Aguero akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 56 na 58 katika ushindi wa 4-1 wa Manchester City dhidi ya Burnley kwenye mchezo wa Kombe la FA England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City inayoingia Raundi ya Nne ya michuano hiyo kwa ushindi huo yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 71 na Bernardo Silva dakika ya 82, wakati la Burnley limefungwa na Ashley Barnes dakika ya 25 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment