Pablo Zabaleta akishangilia bao lake la kwanza kuifungia Manchester City tangu Desemba mwaka 2014 alipofunga kwenye Ligi ya Mabingwa dhidi ya Roma. Zabaleta alifunga bao la kwanza usiku wa Jumatano dakika ya 33 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Bao la pili lilifiungwa na kiungo David Silva dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ricky Hatton left £30MILLION estate after his tragic death, new figures
reveal, as son Campbell claims family are 'completely in the dark' amid
dispute over late boxer's finances
-
Ricky Hatton reportedly amassed a £30million fortune before his death last
year, though uncertainty remains over how the boxing legend's estate will
be dis...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment