Henrikh Mkhitaryan akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la tatu dakika ya 86 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Sunderland Uwanja wa Old Trafford leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya United yamefunga na Daley Blind dakika ya 39 na Zlatan-Ibrahimovic dakika ya 82 wakati la Sunderland limefungwa na Fabio Borini dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment